iFAHAMU


SHUGHULI.
1. Kuhubiri injili na wokovu kwa watu wote.
2. Kutoa mafunzo juu ya neno la mungu.
3. Kuhamasisha jamii kushinda majaribu na vikwazo.
4. Huduma ya ushauri na maombezi.
5. Uandishi wa makala na vitabu vya kikristu.




MALENGO.
1. Kueneza injili na wokovu kwa watu wote.
2. Kuhamasisha watu wanaopitia vikwazo na majaribu.
3. Kutoa jarida la bure kila mwezi "MSHINDI WA YOTE"
4. kutoa msaada kwa watu wasiojiweza katika jamii.
6. Kuzalisha mavazi (fulana) "MSHINDI WA YOTE"
 

MSHINDI WA YOTE,
Po.Box
Dar es salaam,Tanzania.

MKURUGENZI.
Bw. Maige Cyprian

Mobile; +255(0)717 779 666
              +255(0)746 046 906

E mail; maigecyprian@gmail.com
Website:www.mshindiwayote.blogspot.com

 twitter: @mshindiwayote
facebook: Mshindi Wa Yote